luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,788
Mwanamke akifikisha mimba kubwa na baada ya kujifungua ndo kabisaaaa mwanaume uwa malaya kutokana na hali ya mkeo kujifungua.
hili haliihitaji udhibitisho,
wakati wa kutongoza kuna wanaume wapo wazi wanasemaga haya maneno.
-wife kajifungua si enjoy mapenzi
- mara wife yupo kwenye siku zake, ujinga mtupu.
Mleta mada hili ndo linakuponza mke kujifungua umeanza umalaya, haiwezekani ndoa changa hivyo mkeo abadilike.
Kuna wanaume wanajielewa, hata kama ana mchepuko mke wake akijifungua anavumilia mwaka mmoja kutotoka nje mtoto kwanza akue.
Shoga yangu alijifungua mwezi wa 12 mapacha sasa hivi mmewe anaingia ndani saa 5 kila akiingia ndani ana sababu mara mvua ilinyesha town, mara nn sms za michepuko yaan utumbo mtupu.
Akaniambia nikamshauri kwanza tunza hizo sms za mchepuko wa mmeo, akafanya hivyo, pili sajiri lain ya siri inunulie simu yake ficha chumba kingine uwe unaitumia sms afu unajibu mwenyewe.
Anaandika sms hivi
"darling ndoa imenishinda mwanaume kila siku anachelewa kufika ndani, nikimuuliza ni ugonvi, nina stress naomba tukutane weekend unipunguzie stress mm siwezi kujibizana nae tena. Anaituma. hafuti sent items simu anaacha kabatini akifika jikoni anajibu mwenyewe , mme yupo seblen anaskia sms zinaingia baada ya wiki mme siku moja kashika sim ya mke ahaaa mkuki kwa nguruweeee wacha mme asaleeee vurugu tupu, mwanamke kamwonesha zile sms za mchepuko, na akamwambia na mm nimeamua kutafuta pa kupunguzia stress mwanaume aliumia balaaa.