moghasa JF-Expert Member May 7, 2013 1,084 1,251 Dec 19, 2016 #2 Magufuli lazima auwe watu mwaka huu! Dadeki
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Sep 19, 2016 5,188 6,011 Dec 19, 2016 #3 mbere said: View attachment 448286View attachment 448286 Click to expand... huyo mwache a some namba tu
mbere said: View attachment 448286View attachment 448286 Click to expand... huyo mwache a some namba tu
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Sep 25, 2015 9,412 26,893 Dec 19, 2016 #4 Eenhe, bar gan hiyo na mimi nikapige hata kiroba tu...
miss mbuja JF-Expert Member Nov 4, 2016 421 259 Dec 19, 2016 #5 Mbona hamna tatizo.hapo mkuu au hujui kusoma na kuandika mkuu?kila kitu kipo waziiiiiii
N Nndu wa Selote JF-Expert Member Jun 21, 2012 733 520 Dec 19, 2016 #7 Huu siyo mwandiko wa bar attendant ! Acha uongo !!!
Nsanzi Member Nov 30, 2016 84 70 Dec 19, 2016 #8 Huyo Waiter nae ki.laza badala angeongeza humo humo yeye anaweka maombi tena.
Kambaku JF-Expert Member Nov 12, 2011 7,169 26,788 Dec 19, 2016 #9 Huo sio mwandiko wa bar maid, umetunga
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,969 6,460 Dec 19, 2016 Thread starter #10 Nndu wa Selote said: Huu siyo mwandiko wa bar attendant ! Acha uongo !!! Click to expand... Mkuu bar siku hizi hata wale walionyimwa Ajira wapo , wana mwandiko kama Mashine usishangae
Nndu wa Selote said: Huu siyo mwandiko wa bar attendant ! Acha uongo !!! Click to expand... Mkuu bar siku hizi hata wale walionyimwa Ajira wapo , wana mwandiko kama Mashine usishangae
WABALLA Inc JF-Expert Member Sep 2, 2014 2,711 1,015 Dec 19, 2016 #12 Nndu wa Selote said: Huu siyo mwandiko wa bar attendant ! Acha uongo !!! Click to expand... Great thinker
Nndu wa Selote said: Huu siyo mwandiko wa bar attendant ! Acha uongo !!! Click to expand... Great thinker
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,969 6,460 Dec 19, 2016 Thread starter #13 GHIBUU said: Hahaha, number ya gari au ipi hio Click to expand... Ya simu mkuu
innocentmollel JF-Expert Member Sep 11, 2014 1,702 744 Dec 19, 2016 #14 Kwann asinge andika namba moja kwa mojaa kuondoaa usumbufu
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,969 6,460 Dec 19, 2016 Thread starter #15 WABALLA Inc said: Great thinker Click to expand... Hana lolote si uje apa ujionee mkuu !!!
Z zwenge ndaba JF-Expert Member Aug 16, 2016 2,018 3,514 Dec 19, 2016 #19 kweli hali mbaya.hyo safari ya mwendo kasi si inaishia mdomoni tu
CleverKING JF-Expert Member Apr 24, 2014 8,503 25,466 Dec 19, 2016 #20 mbere said: View attachment 448286 Click to expand... Peleka jukwaa la vichekesho coz iliwahi kutumwa huko hii kitu kipindi cha nyuma.
mbere said: View attachment 448286 Click to expand... Peleka jukwaa la vichekesho coz iliwahi kutumwa huko hii kitu kipindi cha nyuma.