kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,980
- 3,635
Nimekuwa mnunuzi wa bidhaa mbali mbali kutoka China kwa kupitia kikuu ambapo bidhaa naipata kwa siku 14 na sijawahi pata tatizo lolote..Lakini changamoto nayoona kikuu Wana wigo mdogo wa bidhaa .nimejaribu kucheck Alibaba naona Wana bidhaa nyingi na Niko interested lakini naona gharama za usafiri Ni kubwa mfano bidhaa ya kununua $15 usafiri Ni $80 bado sijajua na TRA if wataka Chao. Lakini the same product unaweza ipata kwa kikuu kwa sh 45,000 tu unalipia kwenye simu unangojea mzigo wako tu kuchukua after 14 days. Je Kuna website zingine za kununua China? Nazoweza pata products kwa Bei rafiki Hadi inifikie. Pili je kwa Alibaba Kuna njia zingine naweza kupata bidhaa ndani ya siku 14 kwa gharama nafuu ya usafiri?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app