Naombeni ushauri kuhusu combination ya CBG

Mengine yote sipingi wala sikatai lakini hili la kufanya kazi NACTE wala TCU nakataa.
 
Ninachojua nikuwa vigezo vya kujiunga chuo kikuu hubadilika mara kwa mara kwa hiyo usije mshauri mtu ukitegemea mambo yatakuwa hivyo siku zote, na hii combination ya CBG kuna mdau aliwahi nidokeza kuwa hata serikali inafikiria kuifuta!
 
Kwà Mara ya kwanza nasikia CBG Inafutwa ni 2009 Hadi leo 2020 zaidi ya Miaka 10 inapeta tu wakati mwingine muwe mnatumia masala Kama akili haifanyi kazi, Hivi programme Kama Agriculture, Agronomy, Animal science, Forest anazitenga vipi na hiyo CBG!!!?
 
Kuifuta CBG ni kuipunguzia SUA zaidi ya 60% ya intake. Hakuna logic ya kuwa na plan ya kusoma Physics kisha ukasome Forestry, Agronomy, Horticulture and the alike. Labda ubadili gear angani.
 
Kuifuta CBG ni kuipunguzia SUA zaidi ya 60% ya intake. Hakuna logic ya kuwa na plan ya kusoma Physics kisha ukasome Forestry, Agronomy, Horticulture and the alike. Labda ubadili gear angani.
Tatizo humu Kuna Watu wanashauri afu ubabaki unashangaa tu Kama Hawa ni wasomi kweli na kasoma kweli kafika hata Diploma tu achilia mbalii Degree!! Yaan unakuta mtu kasoma PSPA chuo anashauri humu kuwa Kusoma CBG ni kupoteza muda Mara ooh sijui Muda si mrefu itafutwa!!

Ukichunguza vizuri eti kisa tu kaona hawawezi Kusoma Afya, PCB wangapi tumesoma na mbaya zaidi vyuoni tumekutana na Kwenye hizi hizi programmes tumejazana na CBG!!!
 
Mbona unatukana mkuu kisa CBG?? Kwa maelezo yako chuo chenyewe umeingia juzi halafu hutaki hata kusikia mawazo ya wengine!
 
😂😂 😂Kwamba sasa hivi upo TCU kitengo cha udahili
 
lakini mkuu kuna jamaa yuko hapa hospital anafanya internship alisoma bachelor of pharmacy napigaga nae story nakumbuka alisema kasoma cbg
 
Sio kila mada lazima Uchangiee mzee kujikuta much know kumbe utopolo mwisho wa siku unapoteza vijana..
 
lakini mkuu kuna jamaa yuko hapa hospital anafanya internship alisoma bachelor of pharmacy napigaga nae story nakumbuka alisema kasoma cbg
Hiyo ni zamani mzeee enzi hizo hata Medicine unasoma kwa CBG kwenye vyuo vya private ila now CBG hata Unesi huendii nakwambiaaa...!! Labaf Env Science
 
lakin kuna mwana anafanya internship hospital hapa ya bachelor of pharmacy alaf alisoma cbg, au vigezo labda vimebadilika currently?
 
hapo nimekuelewa mkuu mana yeye aliingia chuo 2015
Ofcoz nadhani hao jamaa ndo ilikuwa Batch ya mwisho kusoma Pharmacy...Unesi na vyo vya Private vingine hata Medicine ili mradi O lelel uwe ushawahi soma Physics
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…