Richmoto Kushmoto JF-Expert Member Joined Jan 18, 2021 Posts 549 Reaction score 561 Dec 26, 2021 #1 Niliona mitandaoni hii redio kampuni ya aborder nataka kufahamu kwa wajuzi je redio hizi zinadumu na vp kuhusu quality ya mziki wake nimeona wanauza 120K
Niliona mitandaoni hii redio kampuni ya aborder nataka kufahamu kwa wajuzi je redio hizi zinadumu na vp kuhusu quality ya mziki wake nimeona wanauza 120K
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 26,815 Reaction score 38,887 Dec 26, 2021 #2 Hamna kitu hapo mkuu.. Sasa hivi mchina kaja na uchafu mwingi sana alafu anaita music system
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,820 Reaction score 61,728 Dec 26, 2021 #3 si Aborder iyo ? Mchina huyo, utapata 'kwaliti' kulingana na 'bei' yake
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Dec 28, 2021 #4 Richmoto Kushmoto said: Niliona mitandaoni hii redio kampuni ya aborder nataka kufahamu kwa wajuzi je redio hizi zinadumu na vp kuhusu quality ya mziki wake nimeona wanauza 120KView attachment 2058664 Click to expand... Hiyo sio redio. Ni multimedia speaker. Kwa bei hiyo bora ujiongeze uchukua ya kuanzia 200,000. Hiyo ni hewa
Richmoto Kushmoto said: Niliona mitandaoni hii redio kampuni ya aborder nataka kufahamu kwa wajuzi je redio hizi zinadumu na vp kuhusu quality ya mziki wake nimeona wanauza 120KView attachment 2058664 Click to expand... Hiyo sio redio. Ni multimedia speaker. Kwa bei hiyo bora ujiongeze uchukua ya kuanzia 200,000. Hiyo ni hewa
KingPower JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 1,149 Reaction score 1,907 Dec 28, 2021 #5 [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ymollel said: Hiyo sio redio. Ni multimedia speaker. Kwa bei hiyo bora ujiongeze uchukua ya kuanzia 200,000. Hiyo ni hewa Click to expand...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ymollel said: Hiyo sio redio. Ni multimedia speaker. Kwa bei hiyo bora ujiongeze uchukua ya kuanzia 200,000. Hiyo ni hewa Click to expand...
KingPower JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 1,149 Reaction score 1,907 Dec 28, 2021 #6 Ongeza 50,000 uchukue sea piano Hakika hutajuta Nalikumbuka subwoofer langu hadi kesho nilijichanganya kuchukua Home theater ya Mr UK Kwa 375,000/= dah najuta
Ongeza 50,000 uchukue sea piano Hakika hutajuta Nalikumbuka subwoofer langu hadi kesho nilijichanganya kuchukua Home theater ya Mr UK Kwa 375,000/= dah najuta
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 14,228 Reaction score 40,715 Dec 28, 2021 #7 Unaposema redio unataka kuinunua kwa ajili ya kusikiliza muziki kutoka kwenye simu na Flash Disk au unataka kusikiliza FM radio ? Kama unataka kusikiliza FM radio jua hapo unanunua takataka kabisa
Unaposema redio unataka kuinunua kwa ajili ya kusikiliza muziki kutoka kwenye simu na Flash Disk au unataka kusikiliza FM radio ? Kama unataka kusikiliza FM radio jua hapo unanunua takataka kabisa