Sio kweli mkuu ,
Sema wanafunzi wengi wa open schools wanakuaga na mambo mengi sana kichwani nadhani unaelewa nacho maanisha.
We fight ili uende udsm au udom ukale mkopo na boom.
Pia solve past paper kuanzia 2010-2020 kwa masomo kama history ,literature, English na Geog
All the best