Naombeni ushauri juu ya huyu X wangu

Weeee nae why mpumbavu m1 akurushe roho hivyo? Kwan kuzaa nae ajabu? Ebooooooh muambie afanye yake na wee shka 50 zako kwani tsh ngap? Khaaaaaaaah
 
Jambo Lako Ni Dogo Sana Chukua Huu Ushauri Wa
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Hutajuta!! Ili Maisha Yawe Sawa Sawa Lazima Upitie Mambo Kadhaa Wa Kadhaa

Hata Waliozaliwa Kwenye Nyumba Ya Mfalme Wana Matatizo Ya Kwao!!!!!

 
Msikilize mzazi mwenzako achana na hawa watoto wadogo ambao wanakushauri ujinga. Hawa hawana exposure yoyote ya maisha. Kazi kukaa kwa shemeji tu.
 
Back
Top Bottom