Phiz
Member
- Jul 15, 2021
- 21
- 11
Kuna binti mmoja nilikuwa nadate naye kwa kipindi flani hivi, ila nikaja kuona kuwa mambo yake hayaeleweki na nikamuweka kando tena nilimwambia kabisa kwamba achukue time zake na mimi nifanye mambo yangu, ila kikapita kipindi flani baadaye akaanza kunitafuta na tukawa tunasalimiana fresh tu ila mimi kutokana na mambo yake sipo tayari kuwa naye tena japo bado moyo wangu unamfikria sana tu.
Sasa wana JF nifanyeje ili kuepukana naye na nisimfikirie kabisa?
Sasa wana JF nifanyeje ili kuepukana naye na nisimfikirie kabisa?