Habarini wana JF wote. Naombeni mnisaidie hili laniumiza moyo sana.
Mie ni mdada wa miaka 30. Nilishawahi kuwa na mpenzi nikampenda sana tena sana hadi ikafika wakati nikazaa naye mtoto mmoja. Kutokana na matendo na ishara npatazo kwake nimeshindwa vumilia japo ananisumbua sana inafika hata akinikuta nipo na watoto wa kiume anachukia ila nimemweka wazi kuwa siwzi ten kuumia.
Sasa tatizo langu ni kwamba kutokana na matatizo yalonikuta hata wanaume cwapendi kimapenzi ya uwenza, kwani kila anitamkiaye namwona ni yuleyule tu. Nianyeje?
TAFADHALINI NISAIDIENI