Adult Learner
Member
- Aug 30, 2014
- 24
- 2
Mpenzi wangu anapenda xana hasira kwa ki2 kdgo nifanyaje? it means hata utani hapendi!
uyo mbona mzuri sana, nipe mimi
kumbe unaweza kuvumilia eeh..!!bas haina haja ya kuja kuomba ushaur humu.......teh! teh! teh! ntavmlia