ydon
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 253
- 197
Nina mpenzi ambaye tuna mwaka na nusu sasa.
Jana kantumia txt kwamb "baby sory" nilipojarbu kumuuliza hyo sori ni ya nini akafunguka na kusema kna kipindi nilikuwa nakcheat nilikuwa na mahusiano na mtu mwingine kwa muda wa miezi ka miwil hivi but hatujafanya chochote.
Kiukweli moyo ulipasuka so kawaida nIlipojarbu kumhoji kwanini uliamua kufanya hivyo akasema alikuwa hajielewa na ndo maana aliamua kuachana nae na kubaki njia kuu..
kwa upande wangu sijamwelewa japo toka jana anaomba msamaha up to now ila nashindwa cha kumjibu kwani nahisi ka bado anandanganya..naomben ushauri ndugu zangu