ni vile ujui raha ya kisasi, tena ukilipe vizuri lazima mtu aombe pooo!!watu wenye visasi ni watu dhaifu
chukulia kama first meeting
hujui anakuitia nini labda anakupa dili
usimuhukumu mtu kwa past yake wengine zetu hatuwezi kuziongelea ni za aibu au kusikitisha
Khakhaakhaaaaa uwiiiii eti anataka kumuonja nawewe lol aibu naona mimi tehteh .Pole sana...
Kipindi ana kataa alikuoa huna cha kumpa...
Hakuna kilichomkuta, anataka akuonje na wewe pia...
Follow your heart and carry your brain with you..
cc: mahondaw
Nlijitahid kumfungukia lakin akawa anagoma mkuu..Design kama domo zege hivi kama ulimpenda ungefunguka mkuu muyajenge ,,maana demu mwenyewe alikupa ushirikiano vizuri mpaka akaona ajiondoke tuu
Kuwa mwanaume bhana kama kwenda nenda maana haimaanishi ukienda ndo tayari ila kama huna interest unamwambia too mazoea yasifuke mipaka am in a open relationship bhasi ,,mambo yakuosheana ni uvulana mhenga mwenzangu
Ungekazia mkuu mpaka kieleweke tena mwenyewe anatoa ushiriano ivo daah!! Kwaiyo next project imekaaje mkuu