naombeni umbea!!!!

Carla

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
398
Reaction score
331
anaejua lini itatokea neema kwa wale waliofanya usaili tar1hadi5 maana watu tunakua na pressure mbili mbili mara ya kupanda mara ya kushuka,kwa anaejua tafadhari!
 
Only selected will be conducted..ukiona kimya ujue mzee haupo..!pole sn
 
Utumishi wanafanya recruitment kwa ajili ya nafasi mbali mbali serikalini. Wewe ulikuwa kwa ajili ya hapo hapo utumishi ama kw ajili ya nafasi zipi?

afisa mtendaji rafiki yangu
 
Unge peleka jukwaa la kazi unge pata msaada zaidi.

Alaf try to come down
 
Hivi Afisa Mtendaji huwa pia kuna interview I thought vile vyeo ni vya makada wa CCM...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…