Kuhusu course za computer nakushauri uende UCC pale wanatoa mafunzo mazuri,na hilo la driving zote sawa ila veta ni bora zaidi.
infacts,hii ucc iko wapi?
Kuhusu course za computer nakushauri uende UCC pale wanatoa mafunzo mazuri,na hilo la driving zote sawa ila veta ni bora zaidi.
Kwa driving nakushauri uende veta au NIT.
sawa senet mwenzangu

me ni senetor wa texas,we ni wa jimbo gan mkuu?
Kuhusu course za computer nakushauri uende UCC pale wanatoa mafunzo mazuri,na hilo la driving zote sawa ila veta ni bora zaidi.
Mbona usernames zinagongana? Lack of information au? wekeni basi avatars isaidie kutofautisha....
me ni senetor wa texas,we ni wa jimbo gan mkuu?
Kuhusu course za computer nakushauri uende UCC pale wanatoa mafunzo mazuri,na hilo la driving zote sawa ila veta ni bora zaidi.
nakushukuru mkuu,nimezingatia ushauri wako na nimeona manufaa yake ya kwenda ucc kutokana na survey niliyoenda kuifanya pale nimepaona poa.mawazo yko ndio yalionifikisha pale nakushukuru!