AVO28
Senior Member
- Jan 4, 2018
- 140
- 240
Wakuu naomba kuuliza kwa ambao wanafanya blogging na online jobs na ambao malipo hupata kwa njia ya Wire transfer je ukitumiwa commission yako kwa njia ya wire ili kuipokea kwa bank ya tanzania unahitajika swift code ya bank pesa iliko toka?
Maana jana nimetumiwa payment yangu, niliwapa swiftcode ya CRDB na acc namba yangu jana wakatuma hyo payment lakini leo nimeenda kucheck nakuta haijaingia na nimeuliza pale customer care wanasema nahitajika niwambie walionitumia pesa wanipe swift code yao ili kuverify transction hyo. je na nyie mshakutana na hili maana ndiyo mara ya kwanza kupokea pesa kwa njia hii hivyo sijui taratibu zikoje.
Jamaa walionitumia hyo commission wamenitumia commission statement tu na hain swift code.