N Nyumisi JF-Expert Member Nov 10, 2010 13,405 19,069 Jun 21, 2021 #81 Yule wa Tanganyika jamaa mwembamba fulani hivi, nafikiri yupo vizuri labda atapangiwa kazi nyingine.
las Casas JF-Expert Member Nov 22, 2015 575 711 Jun 21, 2021 #82 The Boss said: Naona kila sehemu ni orodha ya walioteuliwa tu Naomba mwenye orodha ya waliotemwa tuiweke hapa tuione.. Nataka kuona yupi labda alikuwa mchapakazi katemwa 'kimakosa'.. Mwenye nayo please naomba iweke hapa ===== Click to expand... Mimi pia nimetemwa nasubiri UDAS
The Boss said: Naona kila sehemu ni orodha ya walioteuliwa tu Naomba mwenye orodha ya waliotemwa tuiweke hapa tuione.. Nataka kuona yupi labda alikuwa mchapakazi katemwa 'kimakosa'.. Mwenye nayo please naomba iweke hapa ===== Click to expand... Mimi pia nimetemwa nasubiri UDAS
nizakale JF-Expert Member Oct 23, 2019 4,029 2,902 Jun 22, 2021 #83 Yupo Ikungi UPOPO said: Jery Muro wa arumeru sijamwona jamani naue katemwa Click to expand...