Naombeni mwongozo

Naombeni mwongozo

Hahahaha! Changamoto kama hizo zipo unakabiliana nazo,sometimes inabidi uact umafia,mimi mwenyewe nikipewa mrejesho ambao si sawa nakuwa mbogo kwelikweli, hii imesaidia kuleta adabu ya matumizi binafsi,kabla hajatumia lazima anitaarifu kisha ndo nimruhusu atumie au la. Vipi bado uko na hao wasichana wawili nikupe mbinu ya kuishi nao au mmoja kesha ondoka?
mmoja kaondoka. sina kazi za kufanya niajili wadada wawili kwa kweli + mwenyewe ni mfanyaji mzuri wa kazi ninapokuwa home
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kuuwa soo..muungie kifurushi cha wiki.kuanzia kwenye sms mpaka dakika za maongezi.na mfundishe kutuma tafadhali nipigie....
 
1000?kwa week unalala mika?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mmoja kaondoka. sina kazi za kufanya niajili wadada wawili kwa kweli + mwenyewe ni mfanyaji mzuri wa kazi ninapokuwa home
Hiyo ni njema sana,basi mumy samaki mkunje angali mbichi,mimi nadhani kwa huyu usimwekee airtime,tumia njia mbadala chagua ambayo itakufaa .
 
Kuna wakati kweli tunahitajika tuyaangalie mambo kwa mapana yake

Kuna wakati watu hujiingiza kwenye changamoto nyingi sana kwa kujidai kukana kuwa watoto wao nao hufikia mahali wakawa na mahitaji kama vile marafiki,kutoka out n.k

Mambo hayo yalipelekea kujiingiza kwenye malumbano na na ugomvi na watoto wao kwasababu ya kujaribu kukana ukweli kuwa watoto wao nao ni binadamu kama wengine

Kwenye suala hili nako ni hivi pia

Wasichana wa ndani maarufu kama House Girls nao ni binadamu kama wengine
Wana marafiki,ndugu na wapenzi,sasa kama kweli tunawaona kama binadamu ambao wanahitaji kuwa na matumizi ya kibinadamu,shilingi 1000 inawezaje kutosha kwa wiki nzima?

Mi nadhani ni bora kutokumpa kabisa kuliko kumpa hela kidogo kama hiyo huku ukijua kabisa hana kipato kingine na akikitumia unakuja kulalamika,angalau ni bora uwe unampa kila baada ya siku 2 unampa hiyo "buku" maana kiukweli sijui ulitaka aitumie vipi kwa hiyo wiki nzima

Kama unajua nae ana watu ambao anahitajika kuwasiliana nao kama binadamu na hana kipato kingine kabisa ni bora ukajifikiria kama hiyo hela unayompa kama inatosha au laa

Nii dhana ya kuwaona hawa kama vile hawana mahitaji ya kibinadamu ndio inayopelekea malalamiko ya aina hii

Muongezee hela ya vocha au acha kabisa kumpa!
 
rafiki unapata tabu ya kupashwa habari za hivi punde???

usiwaze sana, fanya hivi, simu ya nyumban kwako lazima iwe ni yako na sio ya binti.

pili block kutoka kwenda namba nyingine zaid ya zile uzitakazo wewe. iyo ndo suluhu
 
kumbuka mdada namlipa mshahara, kila mwezi, kama ambavyo mimi nalipwa mshahara na bosi wangu na kwenye mshahara wangu sipewi hela ya airtime. ninapopata dharura kupigia ndugu/jamaa na marafiki huwa natumia mshahara wangu. nilitegemea yeye pia akitaka kuwasiliana na ndugu zake atumie mshahara wake. ile ninayompa mimi ni kwa ajili ya kuwasiliana nami
Nashukuru sana kujua kuwa unamlipa mshahara,hivi ni shilingi ngapi vile?
 
Naomba unielewe kitu kimoja.....
huyu ni mfanyakazi ambaye namlipa mshahara. simzuii kutumia mshahara wake kwa ajili ya kuwasiliana na ndugu na rafiki zake. Tena mimi naona nampa favour kwamba anapotaka kuwasiliana nami basi asitumie ile hela yake ya mshahara, nampa hela ya kuwasiliana nami. sasa unataka hata zile simu zake niwe nazilipia mimi? na mshahara bado nampa. Ningekuwa simpi mshahara labda kungekuwa na stori nyingine
Kuna wakati kweli tunahitajika tuyaangalie mambo kwa mapana yake

Kuna wakati watu hujiingiza kwenye changamoto nyingi sana kwa kujidai kukana kuwa watoto wao nao hufikia mahali wakawa na mahitaji kama vile marafiki,kutoka out n.k

Mambo hayo yalipelekea kujiingiza kwenye malumbano na na ugomvi na watoto wao kwasababu ya kujaribu kukana ukweli kuwa watoto wao nao ni binadamu kama wengine

Kwenye suala hili nako ni hivi pia

Wasichana wa ndani maarufu kama House Girls nao ni binadamu kama wengine
Wana marafiki,ndugu na wapenzi,sasa kama kweli tunawaona kama binadamu ambao wanahitaji kuwa na matumizi ya kibinadamu,shilingi 1000 inawezaje kutosha kwa wiki nzima?

Mi nadhani ni bora kutokumpa kabisa kuliko kumpa hela kidogo kama hiyo huku ukijua kabisa hana kipato kingine na akikitumia unakuja kulalamika,angalau ni bora uwe unampa kila baada ya siku 2 unampa hiyo "buku" maana kiukweli sijui ulitaka aitumie vipi kwa hiyo wiki nzima

Kama unajua nae ana watu ambao anahitajika kuwasiliana nao kama binadamu na hana kipato kingine kabisa ni bora ukajifikiria kama hiyo hela unayompa kama inatosha au laa

Nii dhana ya kuwaona hawa kama vile hawana mahitaji ya kibinadamu ndio inayopelekea malalamiko ya aina hii

Muongezee hela ya vocha au acha kabisa kumpa!
 
rafiki unapata tabu ya kupashwa habari za hivi punde???

usiwaze sana, fanya hivi, simu ya nyumban kwako lazima iwe ni yako na sio ya binti.

pili block kutoka kwenda namba nyingine zaid ya zile uzitakazo wewe. iyo ndo suluhu

Sio fair ......

Kama anaish na binti ambae anajua nae anahitaji kuwasiliana na ndugu na jamaa kama binadamu mwingine ni kwanini haya yote yawepo?

Hivi kutenga shilingi 3000 kwa wiki kwaajili ya mawasiliano ya binti inakuwa ni hasara kweli?

Huyu binti ni wa muhimu sana,kumbuka tunawaachia watoto,wanawapikia chakula,wanawafulia nguo na nyumba unaikuta ipo safi,mshahara tu hautoshi kuonesha kuwa unamjali,kujali ni pamoja na kumfanyia mambo ya kibinadamu kama haya!
 
Naomba unielewe kitu kimoja.....
huyu ni mfanyakazi ambaye namlipa mshahara. simzuii kutumia mshahara wake kwa ajili ya kuwasiliana na ndugu na rafiki zake. Tena mimi naona nampa favour kwamba anapotaka kuwasiliana nami basi asitumie ile hela yake ya mshahara, nampa hela ya kuwasiliana nami. sasa unataka hata zile simu zake niwe nazilipia mimi? na mshahara bado nampa. Ningekuwa simpi mshahara labda kungekuwa na stori nyingine
Tazama haya maneno yangu hapa chini .......

Sio fair ......

Kama anaish na binti ambae anajua nae anahitaji kuwasiliana na ndugu na jamaa kama binadamu mwingine ni kwanini haya yote yawepo?

Hivi kutenga shilingi 3000 kwa wiki kwaajili ya mawasiliano ya binti inakuwa ni hasara kweli?

Huyu binti ni wa muhimu sana,kumbuka tunawaachia watoto,wanawapikia chakula,wanawafulia nguo na nyumba unaikuta ipo safi,mshahara tu hautoshi kuonesha kuwa unamjali,kujali ni pamoja na kumfanyia mambo ya kibinadamu kama haya!
 
rafiki unapata tabu ya kupashwa habari za hivi punde???

usiwaze sana, fanya hivi, simu ya nyumban kwako lazima iwe ni yako na sio ya binti.

pili block kutoka kwenda namba nyingine zaid ya zile uzitakazo wewe. iyo ndo suluhu
rafiki, naona ndo nitakakoelekea
 
Kiukweli huwa simpendi mdada ambaye amekuja akiwa na simu maana ndo zinazowachukulia mda wao wakishaanza kudanganywa.Chakufanya hapo wewe ujiwekee utaratibu wakua unapiga kwako kwa masaa ila usimuwekee vocha
 
Sio fair ......

Kama anaish na binti ambae anajua nae anahitaji kuwasiliana na ndugu na jamaa kama binadamu mwingine ni kwanini haya yote yawepo?

Hivi kutenga shilingi 3000 kwa wiki kwaajili ya mawasiliano ya binti inakuwa ni hasara kweli?

Huyu binti ni wa muhimu sana,kumbuka tunawaachia watoto,wanawapikia chakula,wanawafulia nguo na nyumba unaikuta ipo safi,mshahara tu hautoshi kuonesha kuwa unamjali,kujali ni pamoja na kumfanyia mambo ya kibinadamu kama haya!
I wish ungekuwa unafahamu treatments ambazo huwa nawapa mabinti wanaonisaidia kazi, mbali na mshahara.
 
Kiukweli huwa simpendi mdada ambaye amekuja akiwa na simu maana ndo zinazowachukulia mda wao wakishaanza kudanganywa.Chakufanya hapo wewe ujiwekee utaratibu wakua unapiga kwako kwa masaa ila usimuwekee vocha
mwenzangu, siku hizi kila binti anakuja na simu, hata aliyetoka huko kijijiniiiiiiii..........
 
  • Thanks
Reactions: BAK
I wish ungekuwa unafahamu treatments ambazo huwa nawapa mabinti wanaonisaidia kazi, mbali na mshahara.
Naweza tu kuzijua kwa wewe kumpa msichana wako wa kazi sh1000 kwa wiki .....!!

Kuna haja ya kujua kingine zaidi ya hicho?

Najua hakutakuwa na tofauti kwani kwa yeye tu kuitumia hiyo "buku" imekufanya kuja kuweka thread hapa JF
May be mengine ni hatari zaidi!
 
Wewe kwa kuwa unasema hupendi kubipiwa hapo ndiyo shida,otherwise mimi namuachia simu ya home tena yenye line ya voda ndiyo yenye uwezo wa tafadhari nipigie nikishaona tu msg ya tafadhari nipigie namtwangia lakini eti unaacha budget ya buku kila siku duuuuu upo vizuri sana,mbona sasa hela ya airtime tu ni karibia mshahara wake
 
Umeonaeee na hapo mshahara wake umetulia
 
nunua simu ya vodaphone ya elfu kumi weka line ya voda weka hiyo buku ikae juu ya meza ,mwambie naomba nielewe hii ni kama tv yangu,kochi au mali nyingine, inakazi mbili sms kama kuna dharura au nibip kama kunatatizo basi ,mwambie ukimaliza rudisha juu ya meza,kama hana mpe ya kwake ila mwambie nakupa simu na naelewa matumizi yake usitoke nje ya utaratibu,hii hapa swala la vocha ni wewe na matumizi ya pesa zako
 
Back
Top Bottom