dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,936
- 8,345
wanawake wengi wapo hivo....unaweza mtumia vocha ya elf 5 akakuandikia msg moja tu ya 'thanx'. baada ya hapo husikii chochote mpaka vocha uliyompa iishe ndo atabeep then anaomba vocha
hata wangu huwa tunawaita maripota, maana tunahadithiwa kila kitu.Mwanangu ananifurahisha tukirudi jioni anatoa taarifa ya kila kitu ambacho sio cha kawaida kilichotokea home
ha ha ahaaaa, pole sana......wanawake wengi wapo hivo....unaweza mtumia vocha ya elf 5 akakuandikia msg moja tu ya 'thanx'. baada ya hapo husikii chochote mpaka vocha uliyompa iishe ndo atabeep then anaomba vocha
Nimekuelewa sana na natamani nifanye hivyo.Marufuku kumpa vochaaa cjui umenielewa wewe weka utaratibu Wa kumpigia at least Mara kwa Mara uwapo kazini na ikitokea kuna tatizo mfundishe jinsi ya kutuma pliz kol mi basiiii maana ukimpa vocha atapigia watu anaojuana nao yeye sasa ikitokea ndg zake wanashida nae wampigie au Siku nyingine unatumia simu yako kuwasalimia then unampa nae asalim tuuu hapo utaishi freshhh na huyo muguro mpya ila ukiendekeza vocha utalia. yalishanikuta ndo maana nimeweka sheria mpya. So jaribu kama utaipenda.nawasilisha
wanawake wengi wapo hivo....unaweza mtumia vocha ya elf 5 akakuandikia msg moja tu ya 'thanx'. baada ya hapo husikii chochote mpaka vocha uliyompa iishe ndo atabeep then anaomba vocha
Nawasalimu wana MMU.
Jamani tuna hawa wadada wanatusaidia kukaa na nyumba zetu. Kama tujuavyo maisha ya siku hizi bila simu inakuwa patashika kidogo. Huwa mdada akija kama hana simu huwa nampa simu ambayo nimeinunua kwa ajili ya nyumbani ili niweze kuwasiliana naye naye awasiliane nami ambapo sipo nyumbani. Na kama inatokea mdada kaja na simu yake basi simlazimishi atumie ile yangu, huwa natumia tu ile namba yake kwa mawasiliano.
Kinachotokea mpaka naomba mwongozo hapa ni kwamba; Huwa nampa sh. 1000 kila wiki kwa ajili ya simu, ili akipata dharura basi aweze kunitaarifu. Mara nyingi mimi huwa napiga simu nyumbani mara kwa mara kwa hiyo inatokea mara nyingi tu ndani ya wiki hajanipigia wala kutuma sms hata moja, na yaweza kuwa hivyo hata mwezi mzima. Kinachonichosha, siku ikitokea kapata dharura wala hapigi, nikiuliza naambiwa simu haina hela.
Wenzangu pia mnakumbwa na hili tatizo? nifanyeje sasa ili hili tatizo liishe? sababu wakati mwingine ni jambo la maana kabisa linatokea lakini hawezi kuniambia kisa hela kwenye simu kamaliza zoote kupigia watu wake, sasa maana yoooteee ya mimi kumpa hela ya simu inakuwa haipo.
Nimepata mdada mpya sasa nataka nianze naye tangu mwanzo sheria ya hela yangu ya simu iweje........
Siku atamfungia kwenye friji anapofanya hayo mambo yake ndio furaha yako itaisha maana mabeki 3 wamevurugwa hasa.Mwanangu ananifurahisha tukirudi jioni anatoa taarifa ya kila kitu ambacho sio cha kawaida kilichotokea home
ndo ambavyo mimi nimejitahidi sana kufanya......Mmh!
Mi nadhani tukiwachukulia wafanyakazi wa ndani kama wafanyakazi tu, matatizo hayataisha!
Either tunapaswa kuwachukulia kama wenetu and/or rafiki zetu!
From my point of view, haipendezi kumlimit beki 3 kwenye mambo ya mawasiliano eti kisa tu simu umempa wewe and/or umemuekea vocha ya buku kwa wiki 1!
...
Jamani nimeongea hayo kiroho safi na nadhani nimeeleweka!
ndo ambavyo mimi nimejitahidi sana kufanya......
lakini unaonaje unapompa mwanao simu + airtime kwa lengo la kuwasiliana nawe anapopata dharura halafu inatokea kila anapokuwa na dharura hana airtime kwa ajili ya kukujulisha?
ha haaa, last week nilisafiri, nilihakikisha ndani kuna kila kitu ila nikaacha elfu 10 ya dharura. niliporudi nikaona watu hawanipi mrejesho, nikaomba wanipe mrejesho, walikuwa wadada wawili. Unajua walichonifanyia?Wewe endelea na utaratibu wa kupiga simu mara kwa mara,inapotokea dharura achukue hela akupigie,I hope pamoja nakuhakikisha kila kitu kipo ndani kuna ka hela unaacha kwa dharura mbalimbali basi achukue hapo na jioni anakupa mrejesho wa matumizi. Au kama kuna duka hapo karibu unamuomba mwenye duka kama dharura imetokea ampatie vocha asimpe chochote bila ya kuwasiliana na wewe.
Mimi hutumia njia hizi na hamna tatizo kabisa,nahakikisha hela ya dharura kama buku 5 haikosekani na jioni namuomba anipe mrejesho wa matumizi yake.
anajua kutumia bundle ila sasa hela yooote inaishia kupiga simu zake anazozijua
kumbuka mdada namlipa mshahara, kila mwezi, kama ambavyo mimi nalipwa mshahara na bosi wangu na kwenye mshahara wangu sipewi hela ya airtime. ninapopata dharura kupigia ndugu/jamaa na marafiki huwa natumia mshahara wangu. nilitegemea yeye pia akitaka kuwasiliana na ndugu zake atumie mshahara wake. ile ninayompa mimi ni kwa ajili ya kuwasiliana namiHuyo mfanyakazi hana ndugu?Tuseme dharula unazo wewe tu ila yeye hana dharula?Wewe umewekewa masharti ya kutumia simu na nani na shilingi ngapi kwa wiki?
asante kwa ushaurimkuu hawa beki 3 ni changamoto kwa kweli ukisema umlimit ndo utaumia kabisa hata mtoto anaweza akaugua gafla akashindwa kukupa taarifa chamsingi nunua sim ya mezani alafu unaunganisha laini moja tu ya kwako akipiga sehem nyingine sim haiendi hapo utakua umemkomesha
Hahahaha! Changamoto kama hizo zipo unakabiliana nazo,sometimes inabidi uact umafia,mimi mwenyewe nikipewa mrejesho ambao si sawa nakuwa mbogo kwelikweli, hii imesaidia kuleta adabu ya matumizi binafsi,kabla hajatumia lazima anitaarifu kisha ndo nimruhusu atumie au la. Vipi bado uko na hao wasichana wawili nikupe mbinu ya kuishi nao au mmoja kesha ondoka?ha haaa, last week nilisafiri, nilihakikisha ndani kuna kila kitu ila nikaacha elfu 10 ya dharura. niliporudi nikaona watu hawanipi mrejesho, nikaomba wanipe mrejesho, walikuwa wadada wawili. Unajua walichonifanyia?
waliniandikia walinunua pads box 3, eti wote walianza period...... nilibaki nacheka tu.