Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #201
zile za ttcl bado zipo?mi nimeweka simu ya ttcl hizi za mezani na kwetu kupata vocha za ttcl ni kazi kwahiyo nikiweka 2000 namwambia kukiwa na dharula anipigie ambapo huwa sipokei nakata then nampigia. Inaweza na kutuma sms kama hajapiga atatuma sms sasa vocha huwa haiishi cause ile line ina namba 4 tu. So hana kisingizio kuwa amempigia nani na vocha ikiisha hana ujanja wa kuipata na naweza hata siku yoyote nikaangalia salio anaogopa kama nikikuta limeisha. Every weekend nampa simu awapigie nyumbani na wote anaotaka kuongea nao. Wala sipati shida. Nimemwambia kama kwenu wakitaka wakupigie hapo ila si unajua kupiga ttcl na kijijini wengi hawapigi. Zipo za mitandao mingine ila hizo vocha ni rahisi kupata na chenji sitazikuta na simu itakuwa haina hela kila siku.
ha haaaa, ndo umenifanya nicheke zaidi.............Hayo ni maoni yako. Issue hii ambayo inahusu wasaidizi wa nyumbani na usalama wa familia ni pana sana kuliko wewe unavyotaka tuamini, ila kwa taarifa yako mie nimeshajitoa kwenye huu mjadala na wala sitaki maswali.
CC: Fixed Point usicheke tafadhali lol!!!! πππ
ha haaaaa, that is your problem, not mine
zile za ttcl bado zipo?
Labda nikajaribu tena kununua maana nilikuwa nayo wakaiharibu.
ha haaaa, ndo umenifanya nicheke zaidi.............
I will do the same again and again, lol! najua umenielewa sana..................
Cheka sana tu ππ Nimekuelewa sana tu lakini si umeona negative impact ya hii kitu, labda ungefanya vinginevyo basi ungeweza kuminimize negative impact.
Enjoy your weekend.
Asante sana, nitazifwatiliabado zipo hapa makao makuu barabara ya samora nimenunua 70,000.
I don't take them personal rafiki.........
relax