Naombeni msada: Nahitaji kuonana na Rais Samia

Ni muhimu sana mkuu,pia ni confidential sana.
Hivi kwanini Tunadhani Raisi ndie wa Kumpelekea Habari za Siri.. Sometimes unaweza Peleka Habari za Ufisadi kwake kumbe Yeye mwenyewe yupo kwenye Kundi Hilo.. Unakuwa umeenda Kujikaanga Mwenyewe..

Sometimes Ni Vyema Ukajua Kwanza Unapambana na Kina Nani kabla Hujaanzisha Vita ili ujue Unakabiliana Nao Vipi
 
Sijafanyiwa kosa, na Wala hakuna ufisadi wowote, but there is something very critical and important for the betterment our survival.
 
Sijafanyiwa kosa, na Wala hakuna ufisadi wowote, but there is something very critical and important for the betterment our survival.
You are not serious. How something concerning betterment of your survival become secret of which you cannot reveal here.?
 
Baada ya kuomba utaratibu wa kuonana na Mhe: Daktari Samia Suluhu Hassan na Waziri mkuu, Wana jf wengi wamenidhihaki na kushidwa kunionesha namna au utaratibu ulivyo.

Hivyo basi nimeona ni vema ujumbe niliotaka kufikisha kwa Rais na Waziri mkuu nataka niuweke kwenye hard copy Kisha niutume ikulu kupitia posta.

Japo kuwa document hiyo ni kubwa sana, it's like a report, naamini njia hii itakuwa Sahihi kufikisha ujumbe huu muhimu sana.

Ujumbe wangu sio madai, Wala sio kwamba nadai haki yangu hapana.


Kwa Mungu wa taifa langu Amen
 
Wastege of time. Hilo li document hawata lisoma. Wataliweka kwenye dustbin.
 
Mi Ndo napokeaga hapa lazima niusome niuscan nilete pdf humu au nikupe email ya office ya rais? Ya chief minister?
 
Mheshimiwa huwa anapitia pitia humu, ungeandika tu hata watu wake wa karibu watamwambia
 
Weka huo ujume hapa mkuu, kwani haukusikia Samia alivyo sema kwamba hua anaperuzi pia kwenye mtandao wa jamiiforums..!!🤔
Alafu mihanisi ID yake ni ile inayo anza na......
 

Hata Lucas mwashambwa naye hakukupa mwongozo wa kumfikia?
 
Zaburi 146:3
[3]Msiwatumainie wakuu,
Wala binadamu ambaye hakuna wokovu kwake.
Put not your trust in princes, nor in the son of man, in whom there is no help.
 
Sijafanyiwa kosa, na Wala hakuna ufisadi wowote, but there is something very critical and important for the betterment our survival.
Kwa msaada wangu nadhani mwezi huu ndani ya siku kadhaa hizi Stendi ya Makumbusho inaamia mwenge pale na anaekujafanya ufunguzi ni Mama hiyo nenda kachunguze pale mwenge Stendi inapofunguliwa tukio itakuwa lini then siku ya ufunguzi nenda beba bango lako [emoji2][emoji2] payuka kwa nguvu kadri uwezavyo akusikie nadhani kwa njia hiyo unaweza kuongea nae sasa[emoji23] maan atataka kujua una shida nae
 
Reactions: 30P
Nenda magogoni au Chamwino pale ukifika ruka ukuta, ingia ndani nyoosha moja kwa moja mpaka mjengoni. Akikuongelesha mtu usimjibu chochote wewe focus na mishe yako tu
 
professional ethics hii account yako nyingine huku kwani hapa hukufanikiwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…