Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 15,770
- 50,210
Nenda magogoni ukifika waambie wale wahusika wampe taarifa Samia kwamba samir kafika!
Hivi kwanini Tunadhani Raisi ndie wa Kumpelekea Habari za Siri.. Sometimes unaweza Peleka Habari za Ufisadi kwake kumbe Yeye mwenyewe yupo kwenye Kundi Hilo.. Unakuwa umeenda Kujikaanga Mwenyewe..Ni muhimu sana mkuu,pia ni confidential sana.
Umenikumbushia Documentary ya Gold Mafiauna bei gani nikufanyie mpango
Sijafanyiwa kosa, na Wala hakuna ufisadi wowote, but there is something very critical and important for the betterment our survival.Umesema ni siri sawa ila tuambie walau dondoo jambo linahusu nini
Je ni ishu ya uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya ofisi umeyagundua?
Je ni wewe umetendewa jinai hivyo unahitaji haki yako ambayo unahisi level za chini hutasaidiwa?
Je ni ushauri wa masuala ya kiuchumi?
Funguka mkuu walau intro
You are not serious. How something concerning betterment of your survival become secret of which you cannot reveal here.?Sijafanyiwa kosa, na Wala hakuna ufisadi wowote, but there is something very critical and important for the betterment our survival.
I'm too seriously indeed.You are not serious. How something concerning betterment of your survival become secret of which you cannot reveal here.?
Really? Any ways, it's your fundamental human right to reveal it here or to hide it.I'm too seriously indeed.
Wakuu habarini,
Niende kwenye mada moja Kwa Moja, Wakuu naomba msaada nahitaji kuonana na Rais Samia Suluhu Hassan na jambo muhimu sana natamani ni mwambie physically. Ikishindikana basi nionane na waziri mkuu ndugu Kassimu Majaliwa Kassimu.
Lakini sifahamu utaratibu na namna ya kuonana na hao wakuu
Naombeni muongozo.
===
Zaburi 146:3Wakuu habarini,

Kwa msaada wangu nadhani mwezi huu ndani ya siku kadhaa hizi Stendi ya Makumbusho inaamia mwenge pale na anaekujafanya ufunguzi ni Mama hiyo nenda kachunguze pale mwenge Stendi inapofunguliwa tukio itakuwa lini then siku ya ufunguzi nenda beba bango lakoSijafanyiwa kosa, na Wala hakuna ufisadi wowote, but there is something very critical and important for the betterment our survival.

payuka kwa nguvu kadri uwezavyo akusikie nadhani kwa njia hiyo unaweza kuongea nae sasa
maan atataka kujua una shida naehakika. amen.Zaburi 146:3
[3]Msiwatumainie wakuu,
Wala binadamu ambaye hakuna wokovu kwake.
Put not your trust in princes, nor in the son of man, in whom there is no help.
professional ethics hii account yako nyingine huku kwani hapa hukufanikiwa??Wakuu habarini,