naombeni msaada

naombeni msaada

happy amos

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
251
Reaction score
434
habari zenu naombeni msaada, ninakamera yangu digital SONY, imeharibika lens naombeni msaada kama naweza kupata nyingine
 
habari zenu naombeni msaada, ninakamera yangu digital SONY, imeharibika lens naombeni msaada kama naweza kupata nyingine

Maelezo yako hayajitoshelezi digital Camera aina ya Sony ziko kibao,sasa sisi yako tutaijua je,isitoshe ingekuwa bora zaidi ukapita kwenye maduka if possible yanayouza product za Sonny hasa camera huko utasaidiwa.Kama hawana watakuelekeza wapi utapata.
 
Back
Top Bottom