cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 500
Cheusi mangala Heri ya 2012
kitu gani hicho unadowload?
Unaweza kudownload(Kupakua) kitu chochote kwa OS yeyote(XP. VIsta, Windows 7. MAc , Ubuntu, etc ). Kwa hiyo kama kweli ni kudowlaod hautakiwi kupata kikwazo.
Kwa hiyo weka maelezo yao sawa unataka kudowload au unataka kuinstall (Kusimika) Sofware kwenye computer yako.
waambie wataalam
- unachotaka kudownload ( wimbo, file, movie, etc)
- na unakidonlowd kutoka link (kiunganisho ) gani
Sio mtaalamu jamaniwapendwa wa jukwaa hili nawatakia HERI YA MWAKA MPYA. Kuna kitu nataka kudowmload ktk laptop yangu lakini naambiwa hadi niwe na windows 7,vista,or xpl. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu,mim sina utaalamu sana na haya mambo,hivyo hata sijui kama laptop yangu inayo au haina,
Specification atazionaje, tumsaidie kwanza ajue kama anatumia OS gani, kisha tumuelekeze jinsi ya kuona hizo specificationsKuna baadhi ya vi2 ukitaka kudownload inakuambia mpaka uwe na os ya vista,7 e.g window explorer 8 mi iliniandikia mpaka niwe na hizo windows...2tajie hicho ki2 unachotaka kudownload then u2wekee specification ya laptop yako e.g Ram ukubwa gani?Processor speed ngapi,hard disk ukubwa gani? Ili 2kusaidie kama inauwezo wa kuweka hizo Os au la.
Cheusi mangala Heri ya 2012
kitu gani hicho unadowload?
Unaweza kudownload(Kupakua) kitu chochote kwa OS yeyote(XP. VIsta, Windows 7. MAc , Ubuntu, etc ). Kwa hiyo kama kweli ni kudowlaod hautakiwi kupata kikwazo.
Kwa hiyo weka maelezo yao sawa unataka kudowload au unataka kuinstall (Kusimika) Sofware kwenye computer yako.
waambie wataalam
- unachotaka kudownload ( wimbo, file, movie, etc)
- na unakidonlowd kutoka link (kiunganisho ) gani
Kuna baadhi ya vi2 ukitaka kudownload inakuambia mpaka uwe na os ya vista,7 e.g window explorer 8 mi iliniandikia mpaka niwe na hizo windows...2tajie hicho ki2 unachotaka kudownload then u2wekee specification ya laptop yako e.g Ram ukubwa gani?Processor speed ngapi,hard disk ukubwa gani? Ili 2kusaidie kama inauwezo wa kuweka hizo Os au la.
Right Click my computer utapata halafu select properties utafata system inf zoteni kweli hata hicho kitu nataka kudownload lazima hakikubali kwenye mozila fire foxy.
Hiyo OS nishabadilisha na nimeshadownload nilichokua nataka,ila nafanyaje ili nijue Processor speed ngapi,hard disk ukubwa gani?