EVATI
Member
- Nov 3, 2018
- 18
- 8
Habali Wana Jr Naombeni Msaada Wenu Simu Yangu baada Ya Kuiroot Ilikuwa Inaishia Kuandika Logo Ya TECNO ilikuwa haifunguki nili iflash but nikakuta kuna mabadiliko mwanzoni ilikuwa inasoma 3G Laini Zote But Nilivo Iflash Nikakuta Inasoma 3G Laini 1 Naombeni msaada kama kuna uwezekano wa kuiludisha kama zaman ni TECNO Y3+ (Nb Nime Unlock)