Naombeni msaada

Naombeni msaada

usy

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2019
Posts
209
Reaction score
165
Wakuu habarini za muda huu... samahanini naomba kuifahamu shule ya secondary Nangwa, kwanza location ya shule, hali ya hewa mazingira ya kujifunza na kujisomea kwa mchepuo wa PCB pamoja na huduma muhimu kama maji, laboratory, umeme na walimu..
ahsanteni kwa msaada wetu, karibuni
 
Nangwa kama sikosei ni Babati. Nafikiri mazingira yarakuwa poa. Ila iyo comb inagitaji juhudi zako binafsi
 
  • Thanks
Reactions: usy
Wakuu habarini za muda huu... samahanini naomba kuifahamu shule ya secondary Nangwa, kwanza location ya shule, hali ya hewa mazingira ya kujifunza na kujisomea kwa mchepuo wa PCB pamoja na huduma muhimu kama maji, laboratory, umeme na walimu..
ahsanteni kwa msaada wetu, karibuni
Hio shule Kama unasoma na kujua vitu,jiandae kupata division one ya 3
 
  • Thanks
Reactions: usy
Back
Top Bottom