Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Mi nakupenda wewe ila sijajua nini cha kufanya
Mimi sikupendi wewe na najua cha kufanya.
Mi nakupenda wewe ila sijajua nini cha kufanya
Mimi sikupendi wewe na najua cha kufanya.
Msabato ni afadhali ya muislamu. Wameshika mafundisho yenyewe yakina mafarisayo na masadukayo. Mmoja lazima abadili dini. Inataka moyo.
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
Mi nakupenda wewe ila sijajua nini cha kufanya
whom I am to Judge - sosi Pope Benedict
Sio Benedict bana ni Frances bana!!
Si kweli
Tena wanawake mna mbinu nyingi sana za kueleza mnavyojisikia!!
Mi nakwambia hivi wewe unasema SI KWELI jamani
Nifundishe basi njia moja nifunguke yangu ya moyoni
hamia sabato wanaimba vizuri