Zipo kazi za kuumizana na sio ajira za kawaida umewahi kwenda pale darling mbagala umewahi kwenda kujionea kazi wanazofanya watanzania pale cello temeke mwisho na sehemu nyingine nyingi ambazo wanachukulia mtu mwenye shida ya kazi kama sio binadamu wa kawaidaNimeishia hapo uliposema kazi yoyote nzuri, hiyo inajiweka wazi huwezi kufanya kazi yoyote nzuri, pambana na hali yako.
Kama ipiKwanini hio 150k usiifanye mtaji uangalie nini cha kufanya.
BrainstormingKama ipi
Basi komaa na hali yako ukichoka utuambie tukutafutie kazi mbaya.Zipo kazi za kuumizana na sio ajira za kawaida umewahi kwenda pale darling mbagala umewahi kwenda kujionea kazi wanazofanya watanzania pale cello temeke mwisho na sehemu nyingine nyingi ambazo wanachukulia mtu mwenye shida ya kazi kama sio binadamu wa kawaida Kama ipi
Sihitaji kubishana ndio maana nimekwambia ukomae na hali yako, ni zumbukuku wa maarifa pekee ndiye ambaye anaweza kushindwa kuelewa nilicho kimaanisha.Unaelewa ninachokimaanisha au umekuja kubishana
Kaz za uko mkuu ziko je?Zipo kazi za kuumizana na sio ajira za kawaida umewahi kwenda pale darling mbagala umewahi kwenda kujionea kazi wanazofanya watanzania pale cello temeke mwisho na sehemu nyingine nyingi ambazo wanachukulia mtu mwenye shida ya kazi kama sio binadamu wa kawaida
Kama ipi
Allah amsaidie apate kazi.
Wewe unahitaji msaada kweli?Nipe namba yako