Naombeni msaada wenu

Naombeni msaada wenu

O
Mstar mmoja ina maana ni Negative.
Hakuna Mimba.

Tuachane na hayo.
Nakumbuka miaka ya nyuma (2014-2017) nilikaa Kinondoni Studio - stereo.
Kuna mwamba alikuwa anauzia wale wanawake wajanja wa mjini mikojo ya wanawake wenye mimba.
Anakupa na mbinu kabisa ili jamaa aamini.

Unaaambiwa umwambie Mwanaume anunue kipimo, alaf aje nacho. Mwanamke anakuwa ameficha ule mkojo wenye mimba kwenye kikopo kidogo,
Akipewa kipimo anaenda toilet na Poch yake anadai anatoa wipes kujifuta. Kumbe akifika toi anachomeka kipimo na kinasoma positive.
Anakuletea UPT uliyoleta mwenyewe ikiwa positive.

Siku hiyo mzigo utapewa ila utatoa hela ya kula mboga na hela ya kutoa mimba.😂😂😂
Oyaaaaa😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom