Naombeni msaada wenu

Naombeni msaada wenu

Ibn Abdillah6

Member
Joined
Sep 3, 2020
Posts
60
Reaction score
29
Habari zenu ndugu zangu nahitaji kujua, Hivi mkojo uliokaa zaidi ya masaa manne haufai kutumia kupima mimba? Maana mchumba angu amenipa kwa chupa nikapime, sasa kipimo kinasoma hivyo ndugu zangu.
IMG_20250523_111801_736.jpg
 
Attachments

  • IMG_20250523_111811_350.jpg
    IMG_20250523_111811_350.jpg
    419.8 KB · Views: 11
Wewe kulingana na hayo majibu umefurahi au umechanganyikiwa?!
Iko hivi kaka huyu binti nakaribia kumuoa Mungu akipenda mwezi wa 9, sasa toka nikutane naye (chumbani) ni week 3 na siku zake Sasa anasema hajielewi mwili wake anaona km yuko na dalili za mimba, sasa ndio leo nimefanya kuchukua mkojo wake kupima tujue mbivu na mbichi ili tujue cha kufanya, nikija kujibu swali lako mimi hii mimba sikutarajia kabisa ila kaka ni story kidogo nikianza kukuambia yaan hata sielewi imekuaje, kwani hata hatukufanya tendo la ndoa hiyo siku zaidi tu tulifanya romance na kuparaza tupu yangu juu ya tupu yake na pia hata sikutoa shahawa (sperms) zaidi ya yale maji yanayo toka mtu akiwa na hisia nyingi, basi story nzima ndio hiyo ndugu yangu.
 
ooohoo
 
Hahahahhahahahaha😆😆😆😆😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Iko hivi kaka huyu binti nakaribia kumuoa Mungu akipenda mwezi wa 9, sasa toka nikutane naye (chumbani) ni week 3 na siku zake Sasa anasema hajielewi mwili wake anaona km yuko na dalili za mimba, sasa ndio leo nimefanya kuchukua mkojo wake kupima tujue mbivu na mbichi ili tujue cha kufanya, nikija kujibu swali lako mimi hii mimba sikutarajia kabisa ila kaka ni story kidogo nikianza kukuambia yaan hata sielewi imekuaje, kwani hata hatukufanya tendo la ndoa hiyo siku zaidi tu tulifanya romance na kuparaza tupu yangu juu ya tupu yake na pia hata sikutoa shahawa (sperms) zaidi ya yale maji yanayo toka mtu akiwa na hisia nyingi, basi story nzima ndio hiyo ndugu yangu.
wewe ni lijinga!
 
Mstar mmoja ina maana ni Negative.
Hakuna Mimba.

Tuachane na hayo.
Nakumbuka miaka ya nyuma (2014-2017) nilikaa Kinondoni Studio - stereo.
Kuna mwamba alikuwa anauzia wale wanawake wajanja wa mjini mikojo ya wanawake wenye mimba.
Anakupa na mbinu kabisa ili jamaa aamini.

Unaaambiwa umwambie Mwanaume anunue kipimo, alaf aje nacho. Mwanamke anakuwa ameficha ule mkojo wenye mimba kwenye kikopo kidogo,
Akipewa kipimo anaenda toilet na Poch yake anadai anatoa wipes kujifuta. Kumbe akifika toi anachomeka kipimo na kinasoma positive.
Anakuletea UPT uliyoleta mwenyewe ikiwa positive.

Siku hiyo mzigo utapewa ila utatoa hela ya kula mboga na hela ya kutoa mimba.😂😂😂
 
Kwahiyo ndugu yangu mkojo hata ukipita masaa manne ukija kupima taarifa itakayo kuja ni sahihi katika kipimo?
 
Back
Top Bottom