Naombeni msaada wenu wana jf

Naombeni msaada wenu wana jf

TUTEER

Senior Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
161
Reaction score
33
Mimi ni mhitimu wa elimu ya juu,ambaye kwa sasa nko nafundisha ktk shule moja ya binafsi hapa Dodoma.Mshahara wang c mkubwa kwan upo kat ya laki 460000 hadi 500000.Kulingana na kutosoma masomo ya ualimu chuoni,nimeamua kurudi chuo ili kusoma postgraduate ya education,hivyo naomba mnisaidie kunipa gharama za masomo na chuo kipi ninachoweza kusoma.Tafadhali msaada wenu ni wa msingi sana katika maamuzi yangu.Aksanteni!
 
Generaly vyuo vya serikali vipi cheap ukilinganisha na private ishu ilikua unataka kusoma nn kwny field ya ualimu hii itatoa mwanga wa kukuambia chuo cha kusoma.
 
Back
Top Bottom