Sidhan kama uko sahihi mkuu, kwahy unamaanisha kuwa hapo n mpaka six leavers wote wapate mkopo then pesa zitakazobaki ndio wanapewa wa form 4? Kwan n lin pesa za mkopo ziliwahi kutosha mana kuna wngn wana vigezo na wanakosa mkopo. Au una maana gn?

Wanaweka fungu tofauti kabisa(Hz ni siasa ndugu) wanapunguzaga upande wa form six leavers wanaweka upande wa diploma.
Hence equation balanced! Ndo maana tangu wameanza last year mkopo upande wa degree wanapewa kidogo sana.
Yn unafanya kazi serikalini huku ukijua baada ya miaka mitano nakuwa mstaafu π hy hapana aisee
Halafu unaweza kukuta mshahara wake wa kawaida tuu, hauna maajabu