naombeni msaada wataalam wa theme za laptop Win 7 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naombeni msaada wataalam wa theme za laptop Win 7

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ndetichia, Sep 24, 2012.

 1. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  [h=5]habari za asubuhi wana tech naomba msaada jinsi ya kuitoa theme ya red alienware kwenye laptop ya samsungwin 7 help maana imefuta hadi theme nyengine..[/h]:help::help::help:
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,768
  Likes Received: 7,077
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuna themes na skin pack hizi themes ni rahisi ila skinpack ndo zina matatizo. Yako sjajua ni ipi ila kwamaelezo kama ni skin pack

  -nyingi zao japo zinaonekana kwenye program ukienda ku uninstall haitoki ila zinakua na remover zake itafute ikishindikana tafuta uninstaller ambayo itaforce kuitoa
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ni skin pack mkuu wangu chief-mkwawa na kama una remover zake kama unalink naomba..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. N

  Nyasiro Verified User

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  tafuta hizi program Windows Theme Installer v1.1 by Kishan Bagari. Utarun hyo program kama admin then itakuletea theme zote. utakua na option ya kuziondoa au kurudisha katika default system files za explorer.exe oobefldr.dll expolorer frame na shell32.dll Program nyingne ni Universal theme patcher pia inaweza restore explorer.exe na .dll ambazo zimebadilishwa.
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  poa mkuu ngoja nizifanyie kazi..
   
Loading...