unatumia nini kusomea vitabu?? na kama unaongelea educational books, uatapata shida kupata ebooks. ila kama ni novels na so forth, tumia hizi programs:
kama ni pc unatumia, naonelea kuwa calibre (link hii
Calibre) ambayo inasoma kila aina ya vitabu (pdf, epub, pbc etc..)
kama unatumia iphone, tumia ibooks kama unatumia iphone 4 au 4s (ukihizitaji ni PM nitakutumia kama attachment) na kama ni 3gs na kushuka, tumia stanza (stanza ni nzuri kuliko ibooks, lakini haifanyi kazi na ios5), hii pia ni PM nitakutumia kama attachment ukihitaji
na kama unatumia android device, tumia kindle (download kutoka app market)
kama una windows mobile phone mi sijui utakachotumia :madgrin: coz mi sipendi wm na siji nikaitumia.. :whistle:
after that, nenda pirates bay (link-->
TPB) tafuta kitabu kwa jina au author na kwenye description ya kitabu, hakikisha ameweka mfumo wa .epub au .mobi
mfano-- ninasoma kitabu cha hunger games (link-->
Hunger Games) utaona kuna mifumo mingi. chagua .epub coz ndo mfumo popular na inafunguliwa ni apps zote nilizotaja hapo juu