Naombeni msaada wana jamvi

Dec 11, 2016
40
10
nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo kwa muda mrefu sana tangu kuanza kubalehe.

Iko hivi nikiwa kwenye chombo cha usafiri haswa gari kichwa huanza kuiniuma sana na kujisikia kichefuchefu kwa muda wote ntkao kua kwenye gari. Nshawahi kupanda boti na pantoni lakn cjawahi kukumbwa na tatizo hili ..karibuni wakuu..
 
Back
Top Bottom