Nakushauri kabla hujaanzisha mada yako au hata kama umeshaiandaa kabla ya kuipost basi pitia tena huu uzi ili uweze kujua unakosea wapi.
Uzi upo wazi sana na unajieleza vyakutosha. Kutakuwa kuna mahali unakosea. Labda mada unayotaka kuanzisha haikidhi vigezo vya kuwepo humo au labda ni shida nyingine. Pitia tena.
Jamii Forums (JF) ni Asasi ya Kiraia inayoratibu mtandao wa JamiiForums na kuhamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Jamii Forums imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa la...