habari zenu wakuu?? mimi ni kijana
niliemaliza kidato cha sita mwaka 2016/17 na kufanikiwa jupata angalau alama nzur amabyo ni two lakin nulichelewa kuomba mkopo ambapo jana tarehe 10/08/2016 ndo nimepost maombi yangu je bodi watapokea maombi yangu maana kauli nuliyokutana EMS ilinishangaza.