Naombeni msaada wa ushauri jamani

Tena mwambie asiwe anaenda kwa jamaa bila taarifa anaweza kukuta magumu zaidi chumbani kunako 6/6!
Wanawake mmezidi kuwa ving'ang'anizi sana papuchi yako kwann ujirahisi namna hiyo?

Duuuuuu
 
Hakuna mapenzi hapo anamtumia tu, atakuja kusikia huyo kaka kaoa.
Yaani aanze kutafuta maisha mapya bila ya huyo mwanaume.
 
Rafik ako inaonyesha ana stress za kuacha coz anakarbia danger zone
ushaur wangu:

kama haypo happy na mahusiano na uyo man its better akafnya maisha yake peke mwenyew na atapat m2 atakayempenda zaid
na kama bado anampenda huyo man muambie awe jelousless asiogpe kuumizwa

I ALWAYS SAYS;
TIME IS THE GREAT HEALER
 
Hii ni kwa wewe, rafiki yako na wanawake wote. Mwanaume kuwa na mpenzi mmoja HAIWEZEKANI. Jifunzeni kuchangia kama walivyokuwa wakifanya bibi zetu.
 
Hakuna mapenzi hapo anamtumia tu, atakuja kusikia huyo kaka kaoa.
Yaani aanze kutafuta maisha mapya bila ya huyo mwanaume.

Mapenzi bila kutumiana HAIWEZEKANI. Mfano mzuri ni katika uzi huu, gari la mwanaume, mafuta kalipia mwanaume, kupanda wamepanda wote na gharama za kutoka kalipia mwanaume. Hapa mwanaume katumika kiuchumi, baadaye mwanamke atatumika ki.....?
 

yeyote amwachae mke wake na kuoa mwigine hakika azini:limekuja tu sijui ni kifungu gani katika biblia
 
Hii ni kwa wewe, rafiki yako na wanawake wote. Mwanaume kuwa na mpenzi mmoja HAIWEZEKANI. Jifunzeni kuchangia kama walivyokuwa wakifanya bibi zetu.

Hiiii Kali kwaiyo ata wangu atakua na mwingine!!!uwiiii ni vyema akafanya kwa heshima bac co mpk mm nijue!!!
 
Ni kuvumilia au aondoke uzito anaujua yeye mwenyewe na maumivu anayapata mwenyewe kwa nini yupo anajua mwenyewe kwa ujumla nilichoona kwenye mapenzi anayekupenda humpendi asiyekupenda unampenda so kuumia ni lazima mi nimekaa kando kidogo labda Kuna kitu sielewi kwenye Aya mambo so nikusoma na mazoezi yatosha mpaka wakati utakapofika.mpe pole sna kuumiza na kuumizwa imekuwa sehem ya maisha n no body care .
 
Kama anampenda mshikaji basi wayaongee kikubwa na sio kuwaka bila sababu za msingi, above all mwimbie ajiamini
 
Hiiii Kali kwaiyo ata wangu atakua na mwingine!!!uwiiii ni vyema akafanya kwa heshima bac co mpk mm nijue!!!

Habari ndiyo hiyo, tunafanya kwa heshima, tatizo ni huku kukaguliwa kwenye simu na maswali ya kizushu ya mara kwa mara. Bibi zetu hawakuwa na kitu cha kuwapa fununu kama zilivyo simu na vyombo vingine vya mawasiliano. Mwanamke ukitaka kufaidi penzi itakubidi usimchunguze mwanaume wako kama ana mpenzi mwingine au la.
 
Madam, i don't...
Do you?

You've been kinda cranky this week. Are you on your menses or something....?

Coz I know when it's that time of the month your hormones tend to get out of whack.....
 
mwambie rafiki yako aache ujinga

Hapo anatumiwa tu

Miaka minne bado hashtuki tu?

Asepe

Hivi ni miaka mingapi hasa inafaa kuwa katika mahusiano alafu ndoa inafuata ili kuondoa huu utata wa kuwa mtu anatumiwa? Hii itasaidia vijana wengi kujitambua kuwa sasa anatumiwa. Ok, kuna watu wamekuwa wachumba kwa miaka 10 afu wameoana weingine miaka sita. Wengine mpaka leo ni wachumba na wamezaa mfano ni Brad Pitt na Angelina Jolie bado ni wachumba so wanapotezeana muda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…