Naombeni msaada wa program ya kupunguza picha

Naombeni msaada wa program ya kupunguza picha

MANJUCHUMAMBO

New Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Habari!! Naombeni msaada kwa yeyote anayefaham program ya kupunguza picha nyingi kwa mara moja mpka kufikia 4KB kwani nataka kufanya usajili wa wanafunzi wa kidato cha pili na nne kwani njia nayotumia ni PHOTOSHOP SC3 natumia muda mwingi wa kupunguza picha moja moja so ni shida. natafuta itakayoweza kunirahisishia kazi......!!
 
Back
Top Bottom