Naombeni msaada wa kunijuza.

eliasy

JF-Expert Member
Nov 9, 2012
455
53
kwa wanaofahamu au wanaotumia ebay. unaweza kuagiza bidhaa ikakufikia tanzania au ebay ni inatumika kwa huko kwao?
kama bidhaa inakufikia tanzania vipi kuhusu suala la malipo ili bidhaa ikufikie na wanatumia njia gani kukufikishia mzigo?
 
Inategemea na mwuzaji, so kwenye kitu unachotaka kununua angalia shipping options. Malipo nayo yanategemea mara nyingi ni paypal au credit card. Epuka malipo ya western union rahisi kuibiwa
 
nashukuru kwa hilo, but hyo paypay inakuwaje jinsi ya kulipia?
 
Kila kitu unachotaka kununua ebay wameweka maelezo ya nchi wanazofanya shipping...angalia kama inatoka nje ya USA, lazima uwe na Paypal, Mastercard au visaCard inategemea.....
 
Back
Top Bottom