Naombeni msaada wa kimawazo

Naombeni msaada wa kimawazo

dranx

Senior Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
190
Reaction score
84
Habari zenu wana jamii,
Nina rafiki yangu alikuwa anasoma Public Administration(Certificate) ameshindwa kufikisha course work kwenye masomo yote. Msaada wenu mtu kama huyu tunamsaidiaje?
 
Akakune nazi nyumbani. Elimu imemshinda. Hadi Certificate anashindwa kufikisha C.W?!
 
Habari zenu wana jamii,
Nina rafiki yangu alikuwa anasoma Public Administration(Certificate) ameshindwa kufikisha course work kwenye masomo yote. Msaada wenu mtu kama huyu tunamsaidiaje?
Aende ufundi akasome stadi itakayomsaidia kuingiza kipato direct.. hiyo public administration hata akimaliza kwa ngazi ya certificate hadi afikie nchi ya ahadi atakuwa kashaitukana serikali na mashirika binafsi kuwa hayaajiri watu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom