Naombeni msaada wa jinsi ya kuondoa hii logo kwenye TV

Magesajr

Member
Nov 13, 2018
32
79
Ndugu zangu wana jamii forum nimekwama hapa jinsi ya kutoa haya maneno ya nayo tokea kwenye TV aina ya hesense mwenyewe

Ujuzi naomba msaada.

IMG20201225005042.jpg

Answer

Menu> picture>shopping mode> off

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom