Naombeni msaada wa haraka

Naombeni msaada wa haraka

bahaticaro

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
100
Reaction score
31
Hey guys eti mwanamke ana uwezo wa kukaaa muda gani bila kushiriki tendo la ndoa? na mwanaume je?
 
Yaani kwa urahisi huo muda huwa unategemeana kwa jinsia zote kulingana na aina ya mtu mwenyewe, majukumu aliyonayo, na mazingira pia na wengi wetu pia tuetafautiana katika hili, unaweza ukanikuta mimi simalizi wiki, mwenzangu mwengine yeye mwezi, mwengine miezi kadhaa, kwahiyo ni vigumu kujua muda halisi.
 
Mwanamke anakaa muda mrefu sana.... hata years. Inategemea tu na mtu mwenyewe
 
inategemea anafanyiaga wapi hayo mapenzi.....
 
Inategemea na msosi ukila karanga,mihogo mibichi na nazi masaa tu kitu kinataka.
 
Back
Top Bottom