Naombeni msaada wa haraka tafadhali

Vyamagila

New Member
Jan 28, 2018
1
20
Iko hivi, rafiki yangu akiwa njiani kwenda sokoni alikutana na ex wake akiwa na wenzie ambao walimchukua binti huyo kwa nguvu kisha wakamfungia ndani. Inasemekana pia walimfanyia ukatili wa kingono.

Kisha huyo jamaa alitoa taarifa nyumbani kwao na binti kuwa anaye binti yao so wasimtafute (kwetu ni kawaida binti kuolewa kimya kimya hata wazazi wakiumia huwa hawafany chochote).

Binti huyo alinyang'anywa simu so hakuwa na namna ya kujisaidia. Nimepata bahati ya kuwasiliana na binti akasema akishindwa kutoroka atajiua hata hivyo anatamani kuripot polisi ila hana namna.

Natamani kumsaidia kwa hilo Ila niko mbali na huko aliko, nawezaje kuripoti na wapi?
 
KANYEGELO

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
993
2,000

Kishiriki kwa namna yote iwe kwa kumuita,kumshawishi ,...halafu akabakwa na wengine ww pia unahesabika kama collaboretor ...hivyo sheria itakuhusu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom