naombeni msaada wa dell inagoma kuwaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naombeni msaada wa dell inagoma kuwaka

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by by default, Oct 3, 2012.

 1. by default

  by default JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  naombeni msaada kwa wataalam wa computer nina desk top dell ..tatizo lake kuna muda inawaka bila matatizo lakini inakuwa slow sana na kuna wakati inagoma kusend signal katika screen ila cpu inaonyesha kuwa ipo on..
   
 2. d

  dylan Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 2, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mkuu jaribu njia hizi
  1.Chomoa machine kutoka kwenye source ya power then iwashe machine huku umeshikilia power button kama 3times kwa mda (dk 3)hv ili kuwith-draw excess power,kwasababu hilo tatizo maranyingine linasababishwa na excess power.
  2.Ifungue machine halafu toa RAM piga blower kuondoa vumbi na uchafu ndani ya PC hasa kwenye slots za RAM then rudishia RAM kama kawaida
  3.Ikigoma hiyo ya kwanza either RAM imekufa au slot za RAM hazisomi,check kama machine yako kama ina RAM chip mbili chomoa tumia chip moja test kwa slot zote,ikigoma chukua chip nyengine test nayo,hata kama ina moja jaribu kuhamisha slot tofauti tofauti,kuna PC mbili zilikua na tatizo hilo baada ya kufanya hivo ikakubali,

  hicho ndicho ninachokifahamu, zikigoma hizo labda tuwasubir wana JF wafunguke.
  dats all mkuu.
   
 3. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  sa mkuu hiyo option ya kwanza mashine itawakaje wakati kasema ni desktop
   
 4. by default

  by default JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sawa mkuu nitajaribu
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mwagia mafuta ya taa kisha piga kiberiti itawaka tu
   
Loading...