Naombeni msaada tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni msaada tafadhali

Discussion in 'JF Doctor' started by Hakikwanza, Jun 23, 2012.

 1. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Jamani natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu. Jamani nina mtoto wa miezi mitatu ila toka azaliwe kuna mucas nyeupe ina mtoka machoni tumetumia tiba kwa ushauri wa madaktari tulio waona lakini tatizo bado. Tunaomba msaada kwa anayejua tiba. Asanteni
   
 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,360
  Likes Received: 2,989
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu,ngoja wataalam waje najua uko ktk wakati mgumu.Ila ufumbuzi utapatikana.
   
 3. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Asante ndugu yangu
   
 4. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  We upo maeneo gani?umejaricu kwenda ccbrt?
   
 5. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Nipo Njombe,sijampeleka ila kwa wazo hili itabidi nimpeleke. Asante kwa ushauri
   
Loading...