M Marwa_J_Merengo JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 4,511 Reaction score 6,888 Dec 3, 2019 #21 bunazi said: Sidhani sababu kuna nyingine alikuwa anaongea hadi kikabila Click to expand... Kihaya eti eeh
bunazi said: Sidhani sababu kuna nyingine alikuwa anaongea hadi kikabila Click to expand... Kihaya eti eeh
B bunazi Senior Member Joined Nov 24, 2014 Posts 116 Reaction score 90 Dec 3, 2019 Thread starter #22 Finder said: Ww ungeeleza hapa imekuwakuwaje, Sasa unasema tu et umetapeliwa ki vp sasa?? Click to expand... Nitaandika yote hayo kwa kirefu ni story ndefu kidogo
Finder said: Ww ungeeleza hapa imekuwakuwaje, Sasa unasema tu et umetapeliwa ki vp sasa?? Click to expand... Nitaandika yote hayo kwa kirefu ni story ndefu kidogo
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,729 Dec 3, 2019 #23 Sura za kazi!
Citizen B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 6,804 Reaction score 9,407 Dec 3, 2019 #24 Huyo wa kwanza namfaham katafute movie ya kibongo ya THT inaitwa wivu ni kidonda yumo humo
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,729 Dec 3, 2019 #25 Ncha Kali said: Sasa mkuu unamkomalia Mshana Jr ili akusadie nini, badala ukimbilie polisi uko bize JF.... na hao jamaa wamekuhurumia sana wangekufanya na vingine. Click to expand... Anataka Mshana Jr amsaidie mambo ya ndumba!
Ncha Kali said: Sasa mkuu unamkomalia Mshana Jr ili akusadie nini, badala ukimbilie polisi uko bize JF.... na hao jamaa wamekuhurumia sana wangekufanya na vingine. Click to expand... Anataka Mshana Jr amsaidie mambo ya ndumba!
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,087 Reaction score 23,871 Dec 3, 2019 #26 Yani sijaelewa gari hewa walivyokuuzia 😂 😂 😂 unajua sicheki kama mazuri,mi nimezoea kusikia mtu kauziwa sabuni badala ya simu,sasa hii ya Gari hewa ebu tupe ma eksipiriensi yapoje poje. Baba niepushie mimi😂😂😂
Yani sijaelewa gari hewa walivyokuuzia 😂 😂 😂 unajua sicheki kama mazuri,mi nimezoea kusikia mtu kauziwa sabuni badala ya simu,sasa hii ya Gari hewa ebu tupe ma eksipiriensi yapoje poje. Baba niepushie mimi😂😂😂
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,774 Reaction score 256,812 Dec 3, 2019 #27 bunazi said: Niliwahisi dk za mwisho wakati nimeishaweka pesa ndo maana nilichukua picha kwa sababu walianza kuomba omba pesa nje ya makubaliano Click to expand... Kumbe msiba wakujitakia huo
bunazi said: Niliwahisi dk za mwisho wakati nimeishaweka pesa ndo maana nilichukua picha kwa sababu walianza kuomba omba pesa nje ya makubaliano Click to expand... Kumbe msiba wakujitakia huo
Pundo JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 2,390 Reaction score 3,314 Dec 3, 2019 #28 Hapo sio ile bar ya mawasiliano kama unaenda law school, pembeni kuna hotel?
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,087 Reaction score 23,871 Dec 3, 2019 #29 Hii thread kila comment nimecheka hadi machozi mwanzo mwisho endeleeni kumshauri napita na comment moja baada ya nyingine
Hii thread kila comment nimecheka hadi machozi mwanzo mwisho endeleeni kumshauri napita na comment moja baada ya nyingine
Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,201 Dec 3, 2019 #30 😁😁😁😁Walimwengu huu ndio ushauri wa kumpa mwenzenu comments zinafurahisha
Forbes1990 JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 513 Reaction score 991 Dec 3, 2019 #31 Mkuu gari hewa ikoje ??? Au Ni puto. Inaama Toyota wamekuja na new technology ya kuunda magari hewa kimya kimya
Mkuu gari hewa ikoje ??? Au Ni puto. Inaama Toyota wamekuja na new technology ya kuunda magari hewa kimya kimya
Waziri wa Kaskazini JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 8,596 Reaction score 19,019 Dec 3, 2019 #32 Hao Jamaa ni matapeli tena huenda wakaja kukugeuka na ukaishia jela, huna ushahidi hujafuata process TRA sijui kama umesha wapa chao, Hapo tayari mlisha tengeneza mazingira ya kukwepa kodi.... mrangi hao jamaa nahisi watakuwa na connection na polis
Hao Jamaa ni matapeli tena huenda wakaja kukugeuka na ukaishia jela, huna ushahidi hujafuata process TRA sijui kama umesha wapa chao, Hapo tayari mlisha tengeneza mazingira ya kukwepa kodi.... mrangi hao jamaa nahisi watakuwa na connection na polis
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,774 Reaction score 40,446 Dec 3, 2019 #33 rikiboy said: Jamaa anakwama sanaa... Click to expand... Yaani sura tu zinajieleza na yeye hata hakugundua. Wewe huyo aliyavaa miwani me kama ni afande ni moja kwa moja ndani. kulwa hembu pitia huku. joanah
rikiboy said: Jamaa anakwama sanaa... Click to expand... Yaani sura tu zinajieleza na yeye hata hakugundua. Wewe huyo aliyavaa miwani me kama ni afande ni moja kwa moja ndani. kulwa hembu pitia huku. joanah
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Dec 3, 2019 #34 bunazi said: Niliwahisi dk za mwisho wakati nimeishaweka pesa ndo maana nilichukua picha kwa sababu walianza kuomba omba pesa nje ya makubaliano Click to expand... Ww ni kabila gan!?na hilo ni gari la ngapi kununua wewe mwenyewe
bunazi said: Niliwahisi dk za mwisho wakati nimeishaweka pesa ndo maana nilichukua picha kwa sababu walianza kuomba omba pesa nje ya makubaliano Click to expand... Ww ni kabila gan!?na hilo ni gari la ngapi kununua wewe mwenyewe
Swet-R JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 5,611 Reaction score 8,097 Dec 3, 2019 #35 Duuuh...! Pole sana mkuu. Hayo maboya yamekupiga?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,991 Reaction score 831,561 Dec 3, 2019 #36 Nimshafika bunazi said: cc Mshana Jr Click to expand...
Swet-R JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 5,611 Reaction score 8,097 Dec 3, 2019 #37 Marwa_J_Merengo said: Sasa wewe badala ya kwenda police unakuja kushitaki humu kwa Melo Na hiyo gari hewa ndio gari gani umeuziwa ikiwa kwenye puto au vipi Click to expand... ...!
Marwa_J_Merengo said: Sasa wewe badala ya kwenda police unakuja kushitaki humu kwa Melo Na hiyo gari hewa ndio gari gani umeuziwa ikiwa kwenye puto au vipi Click to expand... ...!
kiss daniel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 968 Reaction score 2,442 Dec 3, 2019 #38 Tunaishukuru selikali ya awamu ya tano kwa hilo la kutapeliwa kiboya
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,991 Reaction score 831,561 Dec 3, 2019 #39 Nipo hapa usijali kabisa bunazi said: Mshana Jr Click to expand...
Baba Mtakatifu JF-Expert Member Joined Dec 31, 2017 Posts 1,332 Reaction score 2,467 Dec 3, 2019 #40 Nenda hapohapo ulipowapiga picha utawakuta wamekaa