nafahamu ww ni kijana mwenzangu ambaye unapambana kutafuta maisha, pole sana kwa michakato ya kutafuta ajira, wote tupo kwenye mkondo huo huo wa kutafuta ajira bila kuchoka..
Kaka nipo tayar kukusaidia kwa maradhi na chakula kwa kipindi ambacho utakuwa Dodoma kwa ajiri ya usaili.
Ila pia sina uhakika sana kama unaitaji msaada huo kwa kuwa maelezo yako hayakujitosheleza, ila kama ni huo nilioutaja hapo juu, naomba uni-PM..
Sasa hata kujieleza hujui,hyo interview utaiweza kweli?
unatokea mkoa gani kwenda dodoma????
upo chizenga kamanda wangu,mzee wa IAA
nipo kaka yangu naona unapita tu!haaa haaa haaaa
nipo kaka yangu naona unapita tu!haaa haaa haaaa
Jamani wana jamvi nimehitimu mwaka jana maisha yamenipiga.
Mwenye uwezo ñaomba anisaidie nikafanye interview tarehe22 mwezi wa 6,2015.
Nimekata tamaa ya kwenda nikipata msaada nitàshukuru sana.
Post niendayo ni ACCOUNTANT II