Naombeni msaada nifike Dodoma nikafanye interview

Naombeni msaada nifike Dodoma nikafanye interview

Ndugu zangu mm nimeitwa chuo cha mipango dodoma.ni mvulana 27 yes old. Ambaye hajaguswa haina haja kunidhihaki.
 
Ndugu zangu mm nimeitwa chuo cha mipango dodoma.ni mvulana 27 yes old. Ambaye hajaguswa haina haja kunidhihaki.

Usiwe mkali mdogo wangu,mbona hujajieleza vizuri,uko wap unahitaj msaada gan? mbna kitu rahisi sana mdogo wangu jaribu kushuka mdogo wangu
 
nafahamu ww ni kijana mwenzangu ambaye unapambana kutafuta maisha, pole sana kwa michakato ya kutafuta ajira, wote tupo kwenye mkondo huo huo wa kutafuta ajira bila kuchoka..

Kaka nipo tayar kukusaidia kwa maradhi na chakula kwa kipindi ambacho utakuwa Dodoma kwa ajiri ya usaili.

Ila pia sina uhakika sana kama unaitaji msaada huo kwa kuwa maelezo yako hayakujitosheleza, ila kama ni huo nilioutaja hapo juu, naomba uni-PM..

mkuu kuwa makini hapo kwenye bold!
 
Ok saw a hata hivyo sijabahatika kupata MTU wakunisaidia! Nawapenda wote kwani kumsaidia MTU kunategemea uwezo na imani kwa MTU.nashukuru mungu hata kuendelea kuwa mzima.itabidi niende kwe semina jubilee 22.6.2015s huku nikiombea nifaulu written ppf.
 
Ndugu chitemo usiwe na negative thoughts kwa kila kitu. Be calm ana lengo zuri na namshukuru nikipata nauli nitaenda kwake kwan mpaka sasa sijafanikisha nauli
 
Ndugu Rahim Jr uko vizuri kaka. Ww unajua sana vitu hongera mm ni kilaza kaka nahitaji mjuzi kama ww unipe elimu. Kumbuka hakuna binadamu anaependa kuonekana hana kitu ni maisha tu! One day you will proof it whether ur wrong or right.MTU akiwa mwenye tatizo unatakiwa umsaidie au umuache na so kumuongezea matatizo
 
Ndugu zangu mm nimeitwa chuo cha mipango dodoma.ni mvulana 27 yes old. Ambaye hajaguswa haina haja kunidhihaki.

Umri huo wewe sio mvulana mimi naitwa mzee kwa umri huo wewe unajizarau, dah!
 
Dah! pole sana mkuu..
Njia ni ile ile tunaipita wote..
Hatimaye na mimi naanza mishe za kuzunguka na barua this July..:wacko::wacko::wacko:
......
Maisha ya shule bye bye kwa muda ....😛oa😛oa😛oa
 
Dah! pole sana mkuu..
Njia ni ile ile tunaipita wote..
Hatimaye na mimi naanza mishe za kuzunguka na barua this July..:wacko::wacko::wacko:
......
Maisha ya shule bye bye kwa muda ....😛oa😛oa😛oa

Karibu mtaani, huku utakuwa mteja mzuri wa bahasha za kaki.
 
Back
Top Bottom