solja njeree
Senior Member
- Aug 27, 2013
- 175
- 95
- Thread starter
- #21
Asante ndugu ata kunamtu wa dini nilienda akanishaur hivyo.Pole sana,kuna binadamu wengine ubinadamu hawana mpaka hapo alipofikia na kusema hayo maneno huyo ameshatokwa na imani na chochote anaweza kukufanyia bila kujuta,chamsingi muepuke mbali,hama hiyo sehemu panga kwengine
nunua hata godoro ulale chini lakini vitu mpe,kama umeandikiwa kupata utapata tuu..
haina haja yakutafuta shari wakati salama ipo wacha ashinde yeye mwisho wa siku atajiona mjinga..