Nemes johnson
Member
- Feb 24, 2017
- 35
- 11
Umepata c zipi na d ya nn na nnmimi nimehitimu kidato cha nne mwaka jana na nina 3 ya 25 comb ya sayans sa nilikua naomba ushauli maana adi sasa hivi sijui ni apply nini ila watu wamenishauli n apply human resource and management yan apa ata sijui kwanza iyo human resourc yahus nini dah yan msaada wenu na kama nikisoma nitakua nani!!!! maana sielewii
Hata mm nakusupport,soma upate cheti cha kukuendeleza na masomo yako.Hakuna human resource officer anaeajiriwa akiwa na certificate.soma upate cheti ukasome career nyingine..
wenzie wana masters bado wanajitolea mpaka leo...Hata mm nakusupport,soma upate cheti cha kukuendeleza na masomo yako.Hakuna human resource officer anaeajiriwa akiwa na certificate.
Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
Sasa ww jamaa mda wote huu ulikuwa unafanya nn bila kuomba vyuo... acha uzembe ww bado unajisheua na dealine ni kesho kutwa tu...
wenzie wana masters bado wanajitolea mpaka leo...
Sio 30 August?Umepata c zipi na d ya nn na nn
Pia nikukumbushe tu mwisho wa kutuma naombi ni tar 20 august bado siku chache
Maviiiiii ni 20 august shangaaaa tu kama vp ingizana hata kweny kozi za afya kama ulisoma physics na kama upo tayal acha namba inbox tufanye mchakato Mi na text ya Nacte nililipia Mara mbiliSio 30 August?
Kumbe upo kama shoga?Maviiiiii ni 20 august shangaaaa tu kama vp ingizana hata kweny kozi za afya kama ulisoma physics na kama upo tayal acha namba inbox tufanye mchakato Mi na text ya Nacte nililipia Mara mbili